MWALIMU AKIRI KUMBAKA MWANAFUNZI,ASEMA ALIMPA FUNGUO ZA GETO KABISA
09 October
0
Mtoto mwenye umri wa miaka 11 mwanafunzi wa darasa la sita katika Shule ya Msingi Mbagala kuu mkoani Dar Es Salaam anadaiwa kubakwa na Mwalimu wake mnamo mwezi Agosti mwaka huu wa 2022 huku Mwalimu huyo akimpatia binti huyo ufunguo wa makazi yake binafsi ili endapo akimuhitaji aweze kufika kwake kwa urahisi.
Baada ya kukamatwa na polisi kata na kuhojiwa mwalimu huyo Ally Said Kaule (26) alikiri kuwa na mahusiano ya kimapenzi na binti huyo na kwamba mipango yao ni kuja kuwa wanandoa.
Tags
Share to other apps