MWANAMKE AHUKUMIWA MAISHA JELA KWA KUMBAKA MTOTO MOROGORO

0

 Mahakama ya Rufani Tanzania imeridhia kifungo cha maisha jela alichohukumiwa Shani Suleiman (35) mkazi wa Morogoro mjini, kwa kosa la kumbaka mtoto wa kiume mwenye umri wa miaka 12.

Mtuhumiwa huyo alikamatwa baada ya kupatikana kwa ushahidi wa video iliyorekodiwa na mama mzazi wa mtoto huyo akiwa na rafiki yake baada ya kuandaa mtego (simu janja) katika nyumba ya mwanamke huyo.

Hiyo ni baada ya mtoto kumweleza mama yake kuwa mama Shani, maarudu kama Mama Shafii amekuwa akimwambia amwingilie mara kwa mara na wakati mwingine kinyume cha maumbile na mchezo huo aliufanya kwa miaka mitatu hadi mwaka 2019.

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
Post a Comment (0)

 

 

#buttons=(Accept !) #days=(20)

Our website uses cookies to enhance your experience. Learn More
Accept !
To Top