Watu wanne wakazi wa kijiji cha Munge wilaya ya Siha Mkoani Kilimanjaro, wanashikiliwa na jeshi la polisi mkoani humo, kwa tuhuma za kumchapa fimbo ndugu yao Simon Mollel (35) hadi kupoteza maisha wakimtuhumu kwa ulevi.
Akithibitisha kutokea kwa tukio hilo kamanda wa jeshi la polisi mkoani Kilimanjaro ACP Simon Maigwa amesema watu hao wanne wanashikiliwa kwa mahojiano na upelelezi ukikamilika watafikishwa mahakamani.
VIDEO YA MTENDAJI AWAPIGA WANANCHI MAKOFI KISA VYOO