NEW!!!: TENGENEZA PESA KUPITIA APP HII HELA UNATOA NDANI YA SAA 3 TU

0

Kwa sasa Dunia inapohamia Kidijiti zaidi hatuna budi kuweka nguvu kupata maarifa zaidi juu ya Digital skills na fursa zilizopo mtandaoni,na kuna fursa za kweli na zingine ni kupotezeana muda hivyo basi leo hebu tujifunze machache kuhusu Mtandao huu wa Otto Alexas unavyofanya kazi.

Karibu tena kwenye Tekno Maarifa sehemu pekee utakapopata ujuzi na taarifa muhimu kuhusu Platform za kujiingia pesa mtandaoni.


KUMBUKA sio kila Platform ambayo tutashare hapa utapata pesa,kazi yangu mimi nikushare Platform hizi na kukueleza mapungufu na faida zilizomo baada ya kufanya uchunguzi hivyo unaweza kuziamini au usiziamini,unaweza kuwekeza au usiwekeza hilo ni hiyari yako na chochote ambacho kitakupata mimi sitohusika nalo maana yatakuwa yalikuwa maamuzi yako ya hiyari. Sasa baada ya kusema hay oleo tupitie pklatfrom hii ya Otto alexas.

Otto alexas ni platform itakayo kuwezesha kujiajiri na kujitengenezea kipato kupitia SMARTPHONE yakođŸ“Čau Laptop yako haijalishi umeajiriwa au Umejiajiri kwani ni kazi ambayo haita chukua muda wako mwingi na utaifanya kwa muda wako ndani ya Dk 1-5 na  Ili kujiunga bofya (Jisajiri>>)

TAZAMA VIDEO HII KWA KUBOFYA ILI KUJIFUNZA ZAIDI.


NILICHOJIFUNZA.

Mosi=Kuweka hela kuna njia nyingi ila tutaangalia ya mfumo wa line za simu,ukibofya mpaka unapata namba ya kulipia utakuna na namba tu ya kawaida utatuma pesa yako kasha ,kupitia mtu aliyekuunga au namba za Otto alexas utatakiwa ku screenshot muamala wako,kasha utume kwao ndio wakuingizie pesa yako.

Ili kujiunga bofya (Jisajiri>>)

PILI=Ukitaka kutoa mtaji wako unaambiwa unatoka ila mpaka kwa ruhusa yao,hivyo unaweza kuendelea kutoa faida tu ambapo kiwango cha chini ni tsh.3000.

Sasa kwa leo naomba tuishie hapa tukutane katika video ijayo nitakuelekeza hatua moja baada ya nyingine kama una swali niandikie hapa chini,kama umeshatoa hela kupitia platform hii niandikie pia,tupe ushuhuda wako n.k Ahsante usisahau ku subscribe channel ya HenrickIdawa Hadi wakati mwingine kwa Heriiiiiiiiiiiiii


Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
Post a Comment (0)

 

#buttons=(Accept !) #days=(20)

Our website uses cookies to enhance your experience. Learn More
Accept !
To Top