Rais Samia Suluhu Hassan leo October 2 2022 amefanya mabadiliko madogo kwenye Baraza la Mawaziri na kumteua Innocent Lugha Bashungwa @innocentbash kuwa Waziri mpya wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa ambapo kabla ya kuhamishwa alikuwa Waziri wa Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI)
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.