TUMIA NJIA HII KULIPWA NA KUTUMA PESA KWA BINANCE ..

0

 Baada ya sasa Platform nyingi za kutengeneza pesa kutumia mfumo wa kurecharge na ku withdraw kwa usdt trc20,leo nimeona nivema niwaletee video hii nikikuelekeza jinsi ya kulipa Binance (RECHARGE) kwenye platfrom mbalimbali zinazohitaji adress ya USDT-TRC20.


Katika video hii nitakuelekeza jinsi ya 1-Namna ya kupata link kwenye platform 2-Namna ya kuweka link kwenye binance 3=Namna ya kutoa hela kutoka Binance kwenye kwenye platfrom 4-Kulipia kupitia kwa wakala wa Binance 5=Na namna ya kupokea hela kutoka Platfrom to Binance. Na mengine mengi naomba kama una swali andika hapo chini nami nitasoma na kujibu kwa haraka iwezekanavyo ni furaha yangu kugawa mawazo niliyonayo kwa wengine.

ZAIDI TAZAMA VIDEO HII HATUA KWA HATUA
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
Post a Comment (0)

 

#buttons=(Accept !) #days=(20)

Our website uses cookies to enhance your experience. Learn More
Accept !
To Top