VIJANA WAWILI WAFARIKI KWA KUFUNIKWA NA KIFUSI WAKIPUMZIKA

0

Vijana wawili Baraka Mollell na Enock Lembris wamefariki dunia huku kijana mwengine venance Joseph akijeruhiwa baada ya kuangukiwa na kifusi katika machimbo ya moramu ya mgodi wa Ngurumausi uliopo katika kata ya Muivaro jijini Arusha.


Inaelezwa tukio ilo lililotokea Octoba 8.2022 limewakuta vijana hao watatu wakiwa wamepumzika chini ya mgodi huo bara baada ya kufanya shughuli yao ya upakiaji wa moramu kwenye magari.

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
Post a Comment (0)

 

 

#buttons=(Accept !) #days=(20)

Our website uses cookies to enhance your experience. Learn More
Accept !
To Top