WALIOCHAGULIWA CCM WAOMBWA WALIPE DENI LA WAJUMBE
03 October
0
Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilayani Njombe mkoani Njombe wamewataka viongozi waliochaguliwa katika ngazi ya nafasi za wilaya na ujumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM Taifa watumie nyadhifa zao katika kulipa deni la wajumbe kwenda kuwatatulia kero mbalimbali kwenye jamii ili maendeleo yazidi kusonga mbele.
Tags
Share to other apps