WATOTO 2 WAFARIKI BAADA YA NYUMBA WALIYOFUNGIWA KUUNGUA MOTO

0

Rehema Masanga (7) na Amos Masanga (5) wamekutwa wakiwa wamekumbatiana baada kushindwa kujiokoa kutokana na kufungiwa ndani na Mama yao


Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wa Mafifi amesema chanzo cha Moto ni mshumaa ulioshika Godoro na kuunguza Nyumba wakati Mama wa Watoto akidaiwa kwenda kunywa Pombe

Kamanda wa Zimamoto, Isabela Bwago, amesema “Ni uzembe wa mzazi aliyeondoka akiwa amewafungia Watoto wake. Taarifa ya Moto tulipewa kwa kuchelewa na hata ingekuja mapema Gari isingeweza kufika eneo la tukio kulingana na Miundombinu mibovu,”.

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
Post a Comment (0)

 

 

#buttons=(Accept !) #days=(20)

Our website uses cookies to enhance your experience. Learn More
Accept !
To Top