WATOTO WAJERUHIWA NA BOMU TABORA WAKICHUNGA NG'OMBE

0

  Watoto wa kijiji cha Kabila kilichopo katika manispaa ya Tabora wamejeruhiwa sehemu mbalimbali za miili yao baada ya kulipukiwa na bomu walilolikata kwa kutumia panga wakitaka kufahamu kilikuwa ni kitu gani.


Kamanda wa polisi mkoa wa Tabora, Richard Abwao amewataja waliojeruhiwa kuwa ni Kikombe Kishagembe (17) na Said Dulu (10) ambao ni wakazi wa kitongoji cha Igosha.

Amesema tukio hilo limetokea Jumatano asubuhi katika kijiji na kata ya Kabila ambapo walikuwa wakichunga ng’ombe ndani ya hifadhi ya Taifa ya Igombe na kuokota kitu ambacho walitaka kukifahamu kilikuwa nini. SOMA ZAIDI>>

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
Post a Comment (0)

 

 

#buttons=(Accept !) #days=(20)

Our website uses cookies to enhance your experience. Learn More
Accept !
To Top