AJALI YAUA WATATU MANYONI

0

Watu Watatu Wamepoteza Maisha Kwenye Ajali ya Gari ambayo imetokea katika Kata ya Sajaranda Wilayani Manyoni Mkoani Singida ikihusisha Lori la Mafuta na Gari ndogo Aina ya Mazda.


Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoani Singida ACP Stella Mutabihirwa Amesema Chanzo cha Ajali hiyo ni Uzembe wa Dereva wa Lori ambaye alihama katika Upande wake na Kulifuata Gari Dogo na Kusababisha Ajali Hiyo.

Kamanda Mutabihirwa Amesema Jeshi Hilo linaendelea kumtafuta Dereva wa Lori Huku akiwahimiza Wananchi Kufika Hospitalini Kutambua Miili ya Marehemu.

TAZAMA VIDEO HII JINSI YA KUFANYA KAZI MTANDAONI


Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
Post a Comment (0)

 


 

 
#buttons=(Accept !) #days=(20)

Our website uses cookies to enhance your experience. Learn More
Accept !
To Top