MWENYEKITI WA KIJIJI AKUTWA AMEJINYONGA KWENYEE MTI

0

 

Geofrey Massawe (45), Mwenyekiti wa kitongoji Somanga mkoani Kilimanjaro amejiua kwa kujinyonga kwa kutumia kamba ya kufungia ng'ombe aliyoifunga juu ya mti wa mparachichi jirani na nyumbani kwake.

Kamanda wa Polisi mkoani hapa, Simoni Maigwa amethibitisha kutokea kwa tukio hilo  Alhamisi Novemba 3 ambapo amesema mwili wa Mwenyekiti huyo ulikutwa juu ya mti na kwamba wanaendelea na uchunguzi wa tukio hilo ili kubaini chanzo chake.

Soma zaidi <<HAPA>>


JE! UNAJUA HII FURSA YA AGI NA FURSA ZAKE,TAZAMA VIDEO HII

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
Post a Comment (0)

 

#buttons=(Accept !) #days=(20)

Our website uses cookies to enhance your experience. Learn More
Accept !
To Top