WANANCHI ARUSHA 'TUNAOMBA NYUMBA ZETU ZISIVUNJWE'

0

Wananchi wanaoishi katika eneo la Mianzini Mkoani Arusha wamedondosha machozi mbele ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha wakitaka nyumba zao zisivunjwe baada ya kupewa notisi ya siku 30 kubomoa maeneo ya nyumba zao ili kupisha ujenzi wa barabara ya Mianzini kupitia Sambasha Ngaramtoni kwa kiwango cha lami yenye urefu wa kilometa 18.


Mongela amesema barabara hiyo imechukua muda mrefu kukamilika na kutoa muda wa mwezi mmoja zaidi hadi Dec 26, 2022 ili kuhakikisha Wananchi hao wanabomoa sehemu ya nyumba hizo kupisha ujenzi huo.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
Post a Comment (0)

 

 

#buttons=(Accept !) #days=(20)

Our website uses cookies to enhance your experience. Learn More
Accept !
To Top