WASIOJULIKANA WAFUKUA KABURI NA KUNYOFOA MOYO NA TITI LA MAREHEMU

0

Katika hali isiyo ya kawaida watu wasio fahamika wamefukua mwili wa marehemu Nehema Enock mwenye miaka 26 mkazi wa Kijiji Cha Luteba Wilayani Rungwe, na kukatwa baadhi ya viungo Vya mwili wake.

Picha kutoka maktaba


Akithibitisha kutokea Kwa tukio hilo Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Juma Homera, amesema marehemu alifariki tarehe 5 mwezi huu akazikwa tarehe 6 na kabuli lake kufukuliwa usiku wa kuamkia tarehe saba mwezi huu huko katika Kijiji Cha Luteba Busokelo Wilayani Rungwe.
Aidha Homera amevitaja viungo vilivyo katwa baada ya mwili huo kufukuliwa nipamija na Ulimi, Kiganja Cha Mkono wa kulia, Moyo, Titi la kulia,Lipsi ya kulia na Jicho la kulia.

HII NDIO PLATFROM AGI KAMA ULIKUWA HUJUI INAWEZA KUKUSAIDIA LEO
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
Post a Comment (0)

 

 

#buttons=(Accept !) #days=(20)

Our website uses cookies to enhance your experience. Learn More
Accept !
To Top