ANGALIA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA KWANZA MAKETE 2023

0

 


 Taarifa iliyotolewa  Desemba 14, 2022 na Waziri wa Tamisemi, Angellah Kairuki imesema kuwa idadi ya wanafunzi waliofaulu kujiunga na kidato cha kwanza Januari 2023 imeongezeka kwa wanafunzi 166, 139 sawa na ongezeko la asilimia 18.30 ikilinganishwa na wanafunzi 907, 802 walopata alama ya kujiunga na kidato cha kwanza mwaka 2022.


Angalia hapa uone Majina ya wanafunzi wote waliochanguliwa kujiunga na kidato cha Kwanza 2023 kwa wilaya nzima ya Makete


BONYEZA <<<<HAPA>>>>KUYAONA MAJINA YOTE KWA WILAYA YA MAKETE

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
Post a Comment (0)

 


 

 
#buttons=(Accept !) #days=(20)

Our website uses cookies to enhance your experience. Learn More
Accept !
To Top