HIZI NDIZO TOVUTI TATU UNAZOWEZA KUTENGENEZA PESA MTANDAONI 2022

0

 JE! Unajua kuwa mtandaoni unaweza kujipatia kipato cha ziada huku ukiendelea kufanya kazi kama wewe ni mwajiriwa au umejiajiri sasa unaweza kutumia fursa hizo mtandaoni,Kuanzia leo acha kuita fursa ni utapeli kwani watu wengi wamebadili maisha yao kupitia fursa mtandaoni,kama hutokuwa tayari kuzitumia kwa sasa kuna wakati utalazimika kuzitafuta na utajuta hivi kuna post moja uliwahi soma utaitafuta wakati huo huenda ikawa imepitwa na wakati kwani kila siku teknolojia inakua na kutoa fursa mpya zaidi.

Hivi uliwahi jiuliza Tanzania tutaanza kuzungumzia sarafu mtandaoni? kama hukuwahi kufikiri lakini sasa inazungumzwa,lakini pia ilikuwa ngumu sana kuelewa kuhusu Trading mtandaoni,kusikia Binance,trust wallet au forex ni maneno ambayo kwa sasa ni kawaida kusikika kwani wengi wanatumia tovuti hivyo kutengeneza pesa zaidi.

KUMBUKA; Kuna kauli moja huwa naipenda sana aliwahi kutoa Rais Mstaafu Kikwete kwamba ukitaka kula lazima uliwe,lakini kuna kauli moja nyingi inasema Mkono mtupu haulambwi,hivyo fursa nyingi mtandaoni ni tumia pesa kupata pesa kama bado unafiriki fursa za bure mtandaoni utapigwa na kitu kizito kichwani.

Kama utapenda Fursa leo nakuonesha fursa Tatu ambazo kwa sasa unaweza kuzitumia

MOJA;FINTECHEARNERS-Hii ni tovuti ya kuwekeza na kupata faida zaidi mfano unawekeza Plan zone ya kati ya $20-$299 utapata faida ya asilimia 20% ya kiasi utakachoweka hapo na hela unaweza kuitoa pamoja na mtaji uliowekeza. <Click here>

Dashboad ya fintech inavyoonekana na fedha unayozalisha kupitiaa mtandaoni

PILI;ARGONAAUT INVESTMENT-Hii ni web application ambayo nayo inahitaji uwekezaji wa Pesa mtandaoni na ukajipatia fedha zaidi kwa Invest,Purchese task,AGI Funds n.k kiwango cha chini cha uwekezaji ni kuanzia $20 rahisi kutumia.(click here)

Dashboard ya agi jinssi inayoweza kuonekana unavyozalisha pesa mtandaoni

TATU;Extrochain=Hiii Tovuti nyingine ambayo unaweza kutengeneza pesa mtandaoni kwa njia rahisi zaidi unatakiwa kuwekeza kuanzia $30 na kuendelea kisha utapata asilimia 20% ya ulichowekeza.imeendelea kuwepo hewani toka mwaka 2016. <Click here>

KUTOA HELA;nimetuma hizi tovuti kwa kuwa tayari ni uhakika wa kuwekeza na kutoa mtaji pamoja na faida uliyozalisha kupitia tovuti hizi kwa njia rahisi zaidi.

Share post hii kwa wengine kama umevutiwa nayo.

TAZAMA VIDEO HII JINSI YA KUTOA PESA MTANDAONI

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
Post a Comment (0)#buttons=(Accept !) #days=(20)

Our website uses cookies to enhance your experience. Learn More
Accept !
To Top