Mtoto alawitiwa, apelekwa kwa Mganga kupata Ndumba ili Mtuhumiwa Asionekane

0

 

Jeshi la Polisi Kamisheni ya Zanzibar limesema linawashililia watu watatu kwa tuhuma za makosa ya kuteka nyara na kulawiti mtoto mwenye umri wa miaka 12 huku mmoja kati ya wahusika wa tukio hilo akidaiwa kutoroshwa alipokuwa Gerezani kwa tuhuma za ulawiti

 
Hayo yamebainishwa na Naibu Mkurugenzi wa makosa ya Jinai Zanzibar  ACP Zubeir Chembera wakati akizungumza na waandishi  wa habari katika ukumbi wa Makao Makuu ya Polisi  Visiwani Zanzibar
 
ACP Chmebera  amesema tukio hilo limetokea Disemba 12, 2022 majira ya saa 1 asubuhi huko Chukwani Wilaya ya Magharibi "B" Unguja ambalo limewahusisha watu watatu akiwemo mganga wa kienyeji ambae mtoto huyo alihifadhiwa kwake kwaajili ya kufanyiwa dawa ili kumfanya mtuhumiwa aliyetoroshwa Gerezeni kutoonekana.

TAZAMA VIDEO HII YA NAMNA YA KUJIPATIA AJIRA MTANDAONI
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
Post a Comment (0)

 


 

 
#buttons=(Accept !) #days=(20)

Our website uses cookies to enhance your experience. Learn More
Accept !
To Top