MWANAFUNZI AKATWA MAPANGA NA WASIO JULIKANA AKISHEREKEA SIKUKUU

0

 Mwanafunzi wa darasa la sita katika shule ya Msingi Msisha halmashauri ya wilaya ya Kyerwa mkoani Kagera Joyce Exavery (13) ameuawa kwa kukatwa mapanga  akiwa nyumbani kwao katika kijiji cha Ruhita kata ya Kamuli.Tukio hilo limetokea jana mchana Jumapili Desemba 25,2022 ambapo inaelezwa kuwa mwanafunzi huyo alifanyiwa ukatili (kuchinjwa) na mtu/watu ambao bado hawajafahamika.

Kamanda wa Polisi wa Kagera William Mwampagale amethibitisha kutokea kwa tukio hilo akizungumza na Malunde 1 blog.

KAMA HUKUTAZAMA VIDEO HII BOFYA SASA
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
Post a Comment (0)

 


 

 
#buttons=(Accept !) #days=(20)

Our website uses cookies to enhance your experience. Learn More
Accept !
To Top