Baadhi ya ndugu wa Binti ambaye ni mwanafunzi wa Kidato cha kwanza sekondari ya Nanyamba wilayani Mtwara, aliyeamua kucha shule na kwenda kuolewa wanadai kuwa binti huyo alitishia kubeba mimba akiwa shuleni iwapo wazazi wake watamzuia asiolewe.
“Akasema kama hamtaki mimi natoroka naenda hukohuko (kumfuata mume) au nitashika ujauzito tuone kama nitasoma, basi haina jinsi.”———RUKIA MACHAPA-Shangazi wa Binti.
TAZAMA VIDEO HII