NAMNA YA KULIPWA $1 KWA KUTAZAMA MATANGAZO MTANDAONI

0

 Kwa maraa nyingine tena leo nakuletea fursaa hii ya kujitengenezea pesa mtandaoni kwa kuangalia matangazo mbalimbali yanayotolewa na tivuti hii ambayo leo nitaenda kukuonesha jinsi ya kufanya kazi ni rahisi sana,haihitaji mtaji wowote zaidi ya DATA zako na SIMU au LAPTOP.


Ukishajisajiri unaanza mara moja kutazama matangazo na matangazo yao ni kuanzia dakika sekunde 10 hadi dakika moja rahisi kazi ni kwako kuchangamkia fursa kama bado una mawazo mgando kuhusu kwamba kila fursa ni utapeli nikwambie endelea tu! subili sarafu mtandaoni itakapoanza kwa TANZANIA ndipo utanielewa..

Hivi ndivyo unavyoweza kujisajiri kwenye tovuti hii kwa kujaza email yako na password,kisha bofya bo kuthibitisha kuwa wewe sio roboti baada ya hapo register kisha subili code kwenye email kuthibitisha kuwa ni wewe au email yako sahihi kisha jaza katika bo la kuthibitisha baada ya hapo login kuingia kwenye dashbord

Baada ya ku login utaona Dashboard kama hii ikionesha sehemu ya kutazama View ads,na unaona sehemu ya withdraw,deposit kama unataka kuwa member wa hii coinpayu na taarifa zingine

Bofya upate wa kushoto kama unavyoonekana utazame matangazo na kupata hela zako na matangazo hayo yanaanzia sekunde 10 hadi 60 huhitaji muda sana ,ni ndani ya dakika chache unapata chako


Hizi ni njia unazoweza kutumia kulipwa pesa yako,Kama hujui basi bofya link hapa chini kwenye video kujifunza jinsi ya kujiunga na hizo njia za kulipwa pesa mtandaoni.

VIDEO HII INAELEZEA ZAIDI KUHUSU FURSA HII 

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
Post a Comment (0)#buttons=(Accept !) #days=(20)

Our website uses cookies to enhance your experience. Learn More
Accept !
To Top