Hatimaye Malkia wa Muziki wa Injili Nchini Tanzania na Africa Mashariki Rose Mhando ameachia Album yake ya Secret Agenda ikiwa na nyimbo kadhaa ikiwa ni Album yake ya Tisa tangu kuanza kazi hiyo ya Kumtukuza Mungu kwa Njia ya Uimbaji.
Hebu tazama hii video yake ya wimbo uliobeba Album hii mpya kwa mwaka 2022. kwa kubofya video hii kutazama.