SIMBA YAZIKUSANYA POINT TATU KIRUMBA..KUINYATIA YANGA

0

Klabu ya Simba Sc imefanikiwa kuondoka na alama tatu mbele ya timu ya KMC Fc kwa kuishushia kipigo cha mabao 3-1, mchezo ambao ulipigwa kwenye dimba la CCM Kirumba Jijini Mwanza.

Simba sc ilianza kupata bao kipindi cha kwanza kupitia kwa nahodha wao, John Bocco na kuwatanguliza mbele mpaka mapumziko wakiwa mbele kwa 1-0 kabla ya KMC kusawazisha.

Simba Sc ilipata bao la pili kupitia kwa nyota wao Okra na baadae bekiwao kisiki raia wa DR Congo, Henock Inonga akifunga mahesabu kwenye mchezo huo na kufanya matokeo kuwa 3-1.
TAZAMA MAGORI YOTE MANNE KATIKA VIDEO HII
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
Post a Comment (0)

JIUNGE NA IDAWA MEDIA SASA
Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Telegram na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka IDAWA TV Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube & Jiunge WhatsApp 

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi

#buttons=(Accept !) #days=(20)

Our website uses cookies to enhance your experience. Learn More
Accept !
To Top