Mtu mmoja aliyefamika kwa jina la Hamisi Sululu (68) mkazi wa mtaa wa Mpilipili Kusini wilayani Lindi amekutwa amefariki ndani ya nyumba yake alipokuwa anaishi Desemba 11,2022
Taarifa za madaktari waliochunguza mwili huo zinasema marehemu huyo amefariki baada ya sukari kushuka kutokana na njaa kali kwani alikuwa akiishi peke yake na alikuwa anapata chakula kwa shida.
Jeshi la polisi wilayani humo limeruhusu ndugu kuendelea na maziko.
Chanzo; Mashujaa fm
SASA UNAWEZA KUBOFYA VIDEO HII KUTAZAMA KWA UNDANI ZAIDIHIVI HII ULITAZAMA KAMA BADO BOFYA KUTAZAMA SASA