Tovuti Itakayo Kulipa Pesa Kutoa Maoni Mtandaoni Kuanzia $5

0

Kama wewe ni mmoja wa watu ambao ungependa kutengeneza pesa mtandaoni kuanzia $5 na kuendelea basi pengine njia hii inaweza kufaa sana kwako.

Kupitia njia hii nitaenda kuonyesha tovuti ambayo inaweza kukulipa kutokana na kutoa maoni kwenye programu na biashara mbalimbali mtandaoni. Biashara au programu hizo ni pamoja na programu kama WhatsApp, Telegram, Canva na programu nyingine.

Kitu cha muhimu unatakiwa kuhakikisha unatoa maoni ya kweli, na pia unatakiwa kuwa umeshawahi kutumia programu hiyo au tovuti.

Ni rahisi kufanya review na huitaji vitu vingi zaidi ya kuwa na akaunti yako ya Google au barua pepe yoyote na pia hakikisha pia unayo internet kwenye kifaa chako. Kama tayari unavyo vyote hivyo basi moja kwa moja twende kwenye njia hii.

Ili kufikia link ya kutengeneza pesa kwa urahisi huhitaji kuweka hela basi Bofya Video hii ukupeleke youtube utabofya link chini ya Video ili kujisajiri.

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
Post a Comment (0)#buttons=(Accept !) #days=(20)

Our website uses cookies to enhance your experience. Learn More
Accept !
To Top