WALIOIBA NGURUWE WATUPWA JELA

0

 Watu wawili wakazi wa mtaa wa Msakasaka wilayani Kiteto mkoani Manyara, wamehukumiwa kifungo cha miaka mitano kwenda jela kwa kuiba vitu mbalimbali ukiwemo mfugo aina ya Nguruwe mali ya mwalimu wa shule ya sekondari Kiteto.


Hukumu hiyo imetolewaDesemba 7, 2022 na wawili hao ambao ni John Solomon (25) na Sadick (33) walishtakiwa kwa makosa manne, likiwemo la kuvunja nyumba, kuiba godoro, shuka, neti na kitanda, pamoja na kuiba mfugo aina ya Nguruwe na kupatikana na vitu vya wizi ikiwemo nyama ya nguruwe ya mwalimu huyo.

TAZAMA VIDEO HII USSIPITWE

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
Post a Comment (0)

 


 

 




#buttons=(Accept !) #days=(20)

Our website uses cookies to enhance your experience. Learn More
Accept !
To Top