WATAZANIA WANAVYOKOSA FURSA ZA MTANDAO KWA IMANI YA KUTAPELIWA

0
Ni ukweli usiopingika kuwa Dunia ya sasa haitegemei ajira ya moja kwa moja kufanya kibarua au kufika ofisini kufanya kazi fulani,japo kwa Tanzania unaweza sema bado watu wengi hawajaweka muda wao kutafuta ajira mtandaoni ama kutumia fursa mtandaoni.

Kwa sasa ukijaribu kumshirikisha mtu fursa zitokanazo na mtandao basi utasikia unatapeliwa unatapeliwa huku,tena kwa sauti lakini anazungumza hivyo bila kuwa na uthibitisho ukimuuliza kivipi hana majibu.

Lakini ni sahihi kuwa katika kukua kwa fursa mtandaoni pia bado kunakutapeliwa kwa moja kwa moja au sio moja kwa moja lakini zote ni fursa,Leo mimi nikupe hii fursa leo ukiona inakufaa basi itumie unaweza kupata chochote sababu Hebu jiulize kwanini unao sema wanatapeliwa wanarudia tena na tena kujiounga katika mifumo inayodaiwa inawatapeli?...TAZAMA VIDEO HII KWANZA.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
Post a Comment (0)

 

 




#buttons=(Accept !) #days=(20)

Our website uses cookies to enhance your experience. Learn More
Accept !
To Top