Rais wa Jmahuri ya Muungano wa Tanzania Mh.Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa wakuu wa wilaya 37,kuwahamasisha vituo vya kazi wakuu wa wilaya 48 na wengine 55 kubaki kwenye vituo vyao.
Kati ya hao wakuu wa wilaya 140 wanawake 40,wanaume 100 kama ufuatavyo