Bila shaka umekuwa ukipata changamoto wakati mwingine kusoma Matokeo ya mitihani mtandaoni pindi yanapotangazwa sasa leo nitaenda kukueleza njia rahisi ya kusoma matokeo kwa urahisi zaidi.
Kupitia video hii utaenda kujifunza fanya kubofya sasa na kutazama hatua kwa hatua ndani ya dakika chache utanishukuru baadae.