KAMA UNATAKA KAZI YA KUKUINGIZIA KIPATO CHA ZIADA 2023 BASI NI HII HAPA

0

Mwaka 2022 kuna kauli niliikuta mtandaoni nilijiuliza mara mbili kisha nikaona watu wengi watakimbilia kupost kauli hiyo lakini bila kuchukulia maanani na kuifanyia kazi,leo ngoja nikukumbushe kama umesahau au kama hukuipata ilikuwa inasema 'KAZI ZIKO NYINGI LAKINI AJIRA NI CHACHE' mwisho wa kunukuu.


Kama umeelewa kauli hii inaonesha wazi wengi tunategemea kuajirwa badala ya kutafuta kazi ya kufanya mwenyewe unataka fulani aanzishe kazi wewe uanza kwenye ulaini bila kupitia magumu na machungu katika kutafuta kazi ya kufanya na kukuingizia kipato,subili sana maana kuna kitu kinaitwa ChatGPT kitakusaidia kufanya kazi unayoisubili

Leo nakuletea hii fursa mtandaoni ambapo wanasema bila kutoa huwezi kupata au lugha nyingine mkono nenda mkono rudi hivyo ili kujipatia kiasi cha Tsh 800 kila siku mtandaoni inawezekana kwa kuwekeza au kuweka dhamana yako ya Tsh,25000 ambayo kwa watumiaji wa fursa kama hizi wanaona ni kitu kidogo sana,hivyo ni imani yangu kuwa Itakusaidia kujiingizia kipato cha Ziada.

Zaidi Tazama video hii itakusaidia kukueleza hatua kwa hatua kwa kujisajiri mpaka kupata faida.

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
Post a Comment (0)#buttons=(Accept !) #days=(20)

Our website uses cookies to enhance your experience. Learn More
Accept !
To Top