MSICHANA AUAWA NA MAMBA AKIOGA MTONI MBEYA

0

 

Mwanamke mmoja aliyefahamika kwa jina la Modesta Shido (31) mkazi wa Ubaruku Mbarali Mkoani Mbeya amekutwa amefariki kwa kushambuliwa na Mamba sehemu ya kiunoni wakati akioga Mtoni katika Mto wa Mkoji uliopo katika Kijiji cha Lyala Mkoani Mbeya.

Akithibitisha tukio Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya ACP Benjamin Kuzaga amesema limetokea Mnamo tarehe 09.01.2023 majira ya saa Tisa Mchana huko katika Kijiji cha lyala Kata ya Luhanga Mbarali ambapo Chanzo cha kifo ni kuoga Mtoni na kupelekea kung na Mamba katika Mto wa Mkoji.

Kamanda Kuzaga ametoa wito kwa Wananchi kuacha kuwa na tabia ya kuoga mtoni.
ULITAZAMA VIDEO HII YA AJIRA SCOIN?
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
Post a Comment (0)
Youtube Channel Image
Henrick Idawa Subscribe To watch How to Earn Money

 

 
#buttons=(Accept !) #days=(20)

Our website uses cookies to enhance your experience. Learn More
Accept !
To Top