MWANAFUNZI AMPIGA RISASI MWALIMU WAKE

0

 Mwanafunzi mwenye umri wa miaka 6 amempiga risasi na kumjeruhi mwalimu wake, katika jimbo la Virginia.Mwanafunzi huyo mvulana, amekamatwa na polisi baada ya tukio hilo katika shule ya msingi ya Richneck.

Mkuu wa polisi Steve Drew amesema kwamba tukio hilo halikuwa la kimakosa na kwamba mwalimu, mwanamke mwenye umri wa miaka 30, amepata majeraha mabaya yanayotishia uhai wake.

Hakuna taarifa kamili kuhusu namna mtoto huyo alivyoapata bunduki.

Shughuli za masomo katika shule tukio lilitokea, zimesitishwa na hakuna masomo yataendelea Jumatatu january 9,2023.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
Post a Comment (0)
Youtube Channel Image
Henrick Idawa Subscribe To watch How to Earn Money

 

 
#buttons=(Accept !) #days=(20)

Our website uses cookies to enhance your experience. Learn More
Accept !
To Top