AMUUA DADA WA KAZI BAADA YA KUMKATILIA PENZI

0

 Watu wawili wameuawa huku mmoja akijeruhiwa kwa kuchomwa na kisu maeneo ya Magomeni Kagera, Mtaa wa LudewaInadaiwa kijana Erick aliyekuwa akiishi nyumbani kwa mzazi wake amemuua dada wa kazi (Anna) baada kukataliwa kimapenzi na baada ya mauaji Erick akautupa mwili chooni; muda mfupi baadaye akamchoma kisu tumboni mama yake mzazi ambaye alihoji alipo dada wa kazi baada ya kukuta damu zimetapakaa kila sehemu.


Kelele za mama mtu kuchomwa kisu ziliwashtua majirani ambao walifika eneo la tukio na kuanza kumshambulia mtuhumiwa hadi kusababisha kifo chake.
USITAZAME VIDEO HII KAMA HUNA KIFUA CHA UVUMILIVU ITAKULIZA
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
Post a Comment (0)

 

 

#buttons=(Accept !) #days=(20)

Our website uses cookies to enhance your experience. Learn More
Accept !
To Top