Mbunge wa jimbo la Momba Condester Sichalwe (CCM) amependekeza Serikali kuajiri vijana waliomaliza mafunzo ya mgambo kulinda barabara zisiharibiwe kwa uchafu.
Sichalwe ametoa pendekezo hilo Februari 10, 2023 ndani ya Bunge alipouliza swali la nyongeza kuhusu utunzaji wa barabara ambazo zinakuwa na uchafu mwingi kutokana na wasafiri kutupa taka.
TAZAMA VIDEO HII YA KAULI YA MBUNGE HUYO