Askofu wa KKKT, Dayosisi ya Mashariki na Pwani, Dk Alex Malasusa Jumapili ametangaza msamaha kwa Mchungaji wa Ushirika wa Kijitonyama, Dk Eliona Kimaro ambaye alipewa likizo ya siku 60.
TAZAMA FULL VIDEO DR KIMARO AKIOMBA RADHI KANISANI ITAKUTOA MACHOZI