Baada ya Mchungaji kiongozi wa Usharika wa Kijitonyama Dr Eliona Kimaro kuomba msamaha mbele ya waumini Febrary 19 mwaka 2023,ametumia fursa hiyo kufichua siri ya likizo yake aliyopewa na kanisa la KKKT.
Katika salamu zake za kuomba Msamaha Dr Kimaro amesema moja ya mahubiri yake ndio chanzo cha yeye kupewa likizo hiyo hivyo ameomba radhi kwa uongozi wa Kanisa hilo na waumini wa Kikristo kote Duniani na Mtandao huu umekuwekea video hii full ya mahubili yake bofya VIDEO HII CHINI KUTAZAMA