Waziri wa Elimu,Sayansi na Teknolojia Mhe.Prof.Adolf Mkenda amefafanua namna ya upatikanaji wa udaktari wa Heshima
Prof. Mkenda ametoa ufafanuzi huo 9/2/2023 Bungeni Baada ya Mbunge wa Mlalo Rashid Shangazi kuomba mwongozo kwa spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Tulia Ackson kutaka kujua namna ya upatikanaji wa udaktari huo wa kutunikiwa na namna ambavyo kwa baadhi ya wabunge ambao wamepata udaktari wa heshima Bunge linawatambuaje
Katika ufafanuzi wake Dkt. Mkenda moja ya kauli yake amesema Serikali kupitia CTU wako tayari kwa mtu ambaye anahitaji kufanyiwa uhakiki wa udaktari na wake.
TAZAMA VIDEO HII YA TAMKO LA SERIKALI KUHUSU PHD ZA KUNUNUA.