UKATILI: MAMA ATUPA MTOTO WASAMALIA WEMA WAMUOKOTA AKIWA HAI

0

 

Mtoto mchanga ameokotwa Februari 5, 2023 Saa 3 usiku akiwa hai, baada ya kutupwa katika maeneo ya Fuoni Kigorofani, Mkoa wa Mjini Magharibi, Zanzibar.


Mtoto huyo anayedhaniwa kuzaliwa muda mfupi kabla ya kutupwa, amefikishwa Hospital Fuoni kwa ajili ya huduma.

"Sijajua kama ni wa kiume au kike, lakini hapa kaja Sheha na wamempeleka Polisi kisha kupelekwa Hospitali, katupwa hapa kwenye miti miba Fuoni Kigorofani huu upande wa pili utaona pana miti miba, nikaanza kusikia sauti kwa mbali ya mtoto, nilishtuka, nilipomuona baadaye wakaja watu wengi mana ni njiani kabisa, nilitamani nipewe Mimi awe wangu" Alisema Shuhuda Khamid  Waziri (De Gea).
BOFYA KUTAZAMA VIDEO HII
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
Post a Comment (0)

 

#buttons=(Accept !) #days=(20)

Our website uses cookies to enhance your experience. Learn More
Accept !
To Top