VIDEO; MKE WA MWENYEKITI ABAKWA KISHA KUUAWA

0

 


Mke wa mwenyekiti wa mtaa wa National Housing kata Rwamishenye katika manispaa ya Bukoba mkoani Kagera, Khadija Ismail (29) amebakwa na kisha kuuawa kwa kupigwa kwa kitu butu kichwani na kijana aliyetambulika kwa jina la Paschal Kagwa (22) aliyekuwa akiishi naye.

Tukio hilo limetokea Februari 13/2023 majira ya jioni.

Mkuu wa Wilaya ya Bukoba Erasto Sima amesema kuwa kijana anayetuhumiwa kumbaka mama huyo alikuwa akiishi nyumbani kwa mwenyekiti baada ya kupewa hifadhi. 
"Aliishi nao nyumba moja lakini sio ndugu yao alipewa hifadhi tu"

TAZAMA VIDEO HII MWANZO MWISHO WA TUKIO HILI
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
Post a Comment (0)

 

 

#buttons=(Accept !) #days=(20)

Our website uses cookies to enhance your experience. Learn More
Accept !
To Top