WANAFUNZI 103 BADO HAWAJARIPOTI SHULENI MPAKA SASA! DED MAKETE

0

 

Zaidi ya asilimia 96 ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na Kidato cha Kwanza katika shule mbalimbali Wilayani Makete mkoani Njombe, wameripoti shuleni huku ikielezwa wanafunzi 103 pekee ndio ambao hawajaripoti mpaka sasa.


Akizungumza na Wanafunzi wa Kidato cha kwanza shule ya Sekondari Iwawa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Makete William Makufwe amesema Kati ya Wanafunzi 2,408 waliochaguliwa kujiunga na Kidato cha kwanza ni wanafunzi 103 tu ndio hawajaripoti katika shule zote za Sekondari Wilayani Makete.

Katika shule ya Sekondari Iwawa waliochaguliwa kujiunga na Kidato cha kwanza ni 275 sawa na 100% na tayari wameshaanza Masomo yao.

VIDEO: TUNDU LISSU ASEMA WALITAKA KUNIMALIZA TENA
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
Post a Comment (0)

 

 

#buttons=(Accept !) #days=(20)

Our website uses cookies to enhance your experience. Learn More
Accept !
To Top