Askari polisi adaiwa kujinyonga kazini

0

 Askari wa Jeshi la Polisi mkoani Shinyanga, PC Denis Fred Mwinuka (28) anadaiwa kujinyonga akiwa katika zamu ya oparesheni ya kawaida eneo la Mwakitolyo.


Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoani Shinyanga, ACP Leonard Nyandahu amesema sababu ya askari huyo kujinyonga bado haijafahamika, na tayari mwili wake umesafirishwa kwenda nyumbani kwao wilayani Mufindi Mkoani Iringa kwa ajili ya mazishi.

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
Post a Comment (0)

 


 

 
#buttons=(Accept !) #days=(20)

Our website uses cookies to enhance your experience. Learn More
Accept !
To Top