BABA AUAWA NA FISI KICHAKANI...

0

Familia moja eneo la Juja inalia kifo cha mpendwa wao aliyeshambuliwa na fisi hadi kufariki dunia.


Kwa mujibu wa wakazi, waliamkia mabaki ya mwili uliokuwa umevamiwa na wanyama hao huku mzoga tu ukibaki.

Tukio hilo lilifanyika kijiji cha Canaan Namira County. nchini Kenya Mastore Juja  Machi 3,2023 kwani wakazi walipata mabaki hayo Jumamosi.

"Umepatikana katika kichaka kilicho eneo hili lakini bado haujatambulika," mkazi aliyeshuhudia alisema.

Eneo hilo hujulikana kwa kuwa na wanyama hao ambao hutishia wakazi  kutokana na mashambulizi yake.

Aidha baadhi walisema haijabainika iwapo mauaji yalitekelezwa kwa mwathiriwa kabla ya mwili wake kutupwa ili uliwe na wanyama hao hatari.

TAZAMA VIDEO HII KUHUSU KUWEKA THUMBNAIL KWENYE VIDEO YAKO
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
Post a Comment (0)

 

 

#buttons=(Accept !) #days=(20)

Our website uses cookies to enhance your experience. Learn More
Accept !
To Top