Baadhi ya raia katikati ya jiji la Nairobi wamejitokeza kwenye maeneo mbalimbali wakifanya maandamano.
Vigogo kadha wa Muungano wa Azimio wamezuiwa kuondoka makwao huku kiongozi wa Azimio Raila Odinga akiwa bado hajulikani aliko.
Kiongozi wa upinzani Raila Odinga aliitisha maandamano nchi nzima dhidi ya Rais William Ruto na serikali yake kwa kile alichokiita uchaguzi ulioibiwa na gharama ya juu ya maisha.
TAZAMA VIDEO HII👇👇