Mamba ‘watoa roho za watu’ wauawa Ziwa Victoria

0

 Mamba wawili waosadikiwa kushambulia watu Ziwa Victoria wameuawa katika Kata ya Nyakasasa Halmashauri ya Buchosa wilayani Sengerema, Mkoa wa Mwanza.


Zoezi la kuwanasa mamba hao limeendeshwa na maofisa Taasisi ya Utafiti wa Wanyamapori Tanzania (Tawiri) iliyoko chini ya Wizara ya Maliasili na Utalii.

Mamba hao ambao wamenaswa  Ijumaa Machi 17, 2023 na hivi karibuni walimshambulia mtu mmoja kisha kupoteza maisha kwenye Kijiji cha lugata kisiwani Kome.

Zoezi la kuwaua mamba hao linaongozwa ofisa kutoka maofisa wa Tawiri, Mohamed Mpoto amesema baada ya kusikia kilio cha wananchi wa Buchosa wamepiga kambi Kisiwa cha Kome kuwavuna mamba hao sambamba na kutoa elimu kwa wananchi.

Baadhi ya wananchi wa Kisiwa cha Kome wamepongeza hauta ya Serikali kutumia ya maofisa wanyapori kuvuna mamba hao ambao walikuwa ni kero kwa wananchi.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
Post a Comment (0)

 

 

#buttons=(Accept !) #days=(20)

Our website uses cookies to enhance your experience. Learn More
Accept !
To Top