MAZITO!! BABA MWENYE NYUMBA ALIVYOFUMANIWA NA KUCHAPWA VIBOKO MBELE YA UMATI/ADAIWA KUTOA MATUMIZI.

0

 Mwanaume mmoja aitwae Katayo Bote Mkazi wa Kijiji cha Kibwera Wilayani Geita Mkoani Geita, amechapwa viboko hadharani pamoja na kulipishwa faini ya shilingi laki mbili baada ya kufumaniwa na Mke wa Mtu wakiwa chumbani katika Kijiji hicho.


Emmanuel Ndalawa ambaye ni Mume wa Mke aliyefumaniwa, amekiri kumfumania Mwanaume huyo akiwa mtupu chumbani kwa Mke wake huku akisema hapo Mwanzo Mke wake huyo Mdogo alizidi kuonesha viashiria vya kuwa karibu na Mtu huyo kadri siku zilivyozidi kwenda.

Ndalawa ambaye ni Mume wa Wake wawili amesema amemfumania Mke mdogo na Katayo katika chumba ambacho Mke huyo amepangishiwa Nyumbani kwa Katayo akimaanisha aliyefumaniwa ni Baba mwenye nyumba wao anapoishi yeye na Wake zake.
TAZAMA FULL VIDEO HAPA YA TUKIO ZIMA
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
Post a Comment (0)

#buttons=(Accept !) #days=(20)

Our website uses cookies to enhance your experience. Learn More
Accept !
To Top