Mpenzi afikishwa kortin kwa kulipa kisasi kwa kuachwa na mpenzi wake

0

Mwanamitindo mmoja amefika mahakamani kumshtaki mpenzi wake  kwa kuiba akaunti yake ya mtandao wa kijamii kisha kupost picha chafu kama njia moja ya kulipa kisasi kwa kuachwa.

Mikayla Saravia, 25, anadai kuwa Nicholas Hunter, 27, alibadilisha password kwenye akaunti yake na kuposti picha na video zake(utupu) ambazo awali kwenye mahusiano yao walizipiga na ni baada ya kutengana mwezi Oktoba.

kulingana na kesi ya kulipiza kisasi ya utupu iliyowasilishwa katika mahakama ya shirikisho wiki hii kesi hiyo inadai kuwa Hunter, mpenzi wa zamani wa mwanamitindo huyo, alichapisha picha nyingi, na video chafu za ngono na video za Saravia, zikiwemo za kuanzia Oktoba 2022 hadi Januari 2023.

Saravia aliweza kuchukua udhibiti wa akaunti zake muda mfupi baadaye.

Wakili wake Joseph DiRuzzo alikiri kuwa mteja wake alikuwa amechapisha maudhui ya utupu akiwa peke yake, lakini akadokeza kuwa yeye ndiye aliyekuwa na udhibiti wa matukio hayo kipindi hicho.

Katika kesi hiyo, mwanadada huyo anataka kulipwa shilingi bilioni 771 sawa na dola za Marekani bilioni 6.3 kwa kuchafuliwa picha na jina lake mitandaoni.

Saravia ambaye ana mamilioni ya mashabiki kwenye tovuti nyingi za mitandao ya kijamii  ana akaunti mbili  (Only fans) moja ambayo ni ya bure na nyingine zaidi ambayo inampa mapato ya $30 kwa mwezi, jarida moja liliripoti.

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
Post a Comment (0)

 


 

 
#buttons=(Accept !) #days=(20)

Our website uses cookies to enhance your experience. Learn More
Accept !
To Top