Mume amshushia jirani kipigo baada ya kukuta namba yake kwenye simu ya mkewe.

0

 Mwita Kitamwi (55) mkazi wa Kitongoji cha Kegonga Kata ya Matare Wilaya ya Serengeti ameuawa kwa kukatwa shingo kwa panga na Jirani yake aliyekuta namba yake kwenye simu ya mke wake.

Mwenyekiti wa Kitongoji cha Kegonga Joseph Mogoyo anasema,Kitamwi(marehemu)aliuawa kwa kukatwa na panga na jirani yake ambaye alilazimika kujibu mashambulizi baada ya kushambuliwa kwa fimbo na Kitamwi akimtuhumu kuwa na uhusiano wa kimapenzi na mke wake.

TAZAMA VIDEO YA TUKIO HILO BOFYA HAPA👇👇👇

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
Post a Comment (0)

 


 

 
#buttons=(Accept !) #days=(20)

Our website uses cookies to enhance your experience. Learn More
Accept !
To Top