Kila mafanikio ni matokeo ya uhitaji wa watu. Kila anacholipia pesa kwako ni uhitaji na kwa unayempa pesa ni kuwa ametatua tatizo lako.
Kwa maneno mengine, kadiri unavyoweza kutatua matatizo makubwa na mengi ndivyo unavyopata vyanzo vya pesa zaidi. Kwa ufupi umasikini ni matokeo ya kukimbia kutatua matatizo na utajiri ni matokeo ya kukimbilia kutatua matatizo.
KUJIFUNZA ZAIDI TAZAMA VIDEO HII 👇👇👇