Wafuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kutoka maeneo mbalimbali nchini, wamewasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) kwa ajili ya mapokezi ya Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema, Godbless Lema ambaye anatoka nchini Canada.
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.