Wanafunzi wa shule ya sekondari Lupalilo wamesisitizwa kuacha tamaa ya kuacha shule kwa sababu yoyote ile ikiwemo mahusiano kwani nyakati za sasa zinahitaji watu waliosoma kufanya kazi mbalimbali kwa mafaniko zaidi.Mbaraza uwt Taifa mkoa wa Njombe Anna Mwalongo
Kauli hiyo imetolewa na viongozi mbalimbali wa Umoja wa wanawake Tanzania UWT katika kukabidhi Taulo za kike kwa wanafunzi wa shule ya sekondari ya Lupalilo iliyopo wilaya ya Makete Mkoa wa Njombe March 8 mwaka huu wakiongozwa na Anna Mwalongo mbaraza wa UWT Taifa mkoa wa Njombe.
TAZAMA FULL VIDEO ZA KAULI ZA VIONGOZI HAO WAKIONGEA NA WANAFUNZI