Video; Yanga yatinga robo fainali kibabe yaongoza kundi

0

 KLABU ya yanga imefanikiwa kutinga hatua ya robo fainali kwnye michuano ya kombe la Shirikisho barani Afrika baada ya kuichapa US Monastir kwa mabao 2-0, kwenye mchezo ambao ulipigwa kwenye dimba la Benjamini Mkapa Jijini Dar es Salaam.


Yanga Sc ilianza kupata bao kipindi cha kwanza kupitia kwa Kennedy Musonda akipokea krosi kutoka kwa winga wao machachali Jesus Moloko na kuzamisha wavuni.

Kipindi cha pili Yanga ilirudi ikiwa inalisakama lango la mpinzani wake na kuweza kufanikiwa kupata bao kupitia kwa mshambuliaji wao Fiston Mayele licha ya kukosa nafasi nyingi za mabao.
TAZAMA MAGOLI YOTE YA YANGA HAPA👇👇
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
Post a Comment (0)

 


 

 
#buttons=(Accept !) #days=(20)

Our website uses cookies to enhance your experience. Learn More
Accept !
To Top